Kuhusu ZanFix

ZanFix ni online business directory inayolenga kuwaunganisha wateja na wajasiriamali wa Zanzibar kwa urahisi, haraka, na ufanisi zaidi.

Mfumo rahisi

ZanFix imeundwa kwa urahisi ili kila mtu aweze kuitumia bila changamoto. Unaweza kutafuta biashara, huduma, au bidhaa ndani ya Zanzibar kwa haraka kupitia simu au kompyuta yako.

Faida za ZanFix

Kupata Huduma Haraka

Tafuta biashara kwa sekunde chache kulingana na eneo au aina ya huduma.

Kukuza Biashara

Wajasiriamali hupata nafasi ya kuonekana zaidi kwa wateja wapya.

Kuunganisha Jamii

Inaleta pamoja wateja na wafanyabiashara ndani ya Zanzibar.

Kwa nini Uchague ZanFix?

    • Rahisi kutumia kwa kila mtu
    • Inapatikana muda wote (24/7)
    • Inaunga mkono biashara ndogo na za kati
    • Inaokoa muda wa kutafuta huduma
    • Inaongeza uaminifu kwa wateja
    • Inarahisisha mawasiliano
    • Inasaidia kukuza uchumi wa Zanzibar
    • Platform salama na ya kisasa

Tunakusaidia Kukua

ZanFix inalenga kuwasaidia wajasiriamali kukuza biashara zao kwa kuwafikia wateja wengi zaidi kupitia mtandao. Jiunge nasi leo na uanze safari ya mafanikio.

Wasiliana Nasi